Daily Swahili radio programs from Adventist World Radio - Karibu katika matangazo ya kiswahili ya Redio ya Waadventista Ulimwenguni
…
continue reading
Vatican News vipaumbele vyake: Habari za Baba Mtakatifu; Vatican, Kanisa la Kiulimwengu na Kanisa Barani Afrika. Tunazo habari za kisiasa na kijamii kutoka Barani Afrika na Dunia katika ujumla wake. Tovuti hii inapambwa na Tafakari ya Neno la Mungu pamoja na Makala mbali mbali. - Podcast - Radio Vaticana - Vatican News
…
continue reading
…
continue reading
…
continue reading
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
…
continue reading
Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano mbalimbali.
…
continue reading
Here for life vibes and personal experiences✨ A kiswahili - English based podcast!
…
continue reading
Makala yanayochambua masuala na matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye jamii kwa wiki nzima kwa kina, yanatoa fursa kwa msikilizaji kueleza hisia na mtazamo wake juu ya masuala yanayoendelea kutokea iwe ni katika uga wa uchumi na siasa duniani kote.
…
continue reading
Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa
…
continue reading
Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.
…
continue reading
Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .
…
continue reading
Ni Makala yanayoangazia kwa jicho la tatu mazingira halisi ya dunia yalivyo bila kusahau kile ambacho kinachangia kuyaharibu. Utapata kufahamu namna ambavyo mazingira na rasilimali zinavyoharibiwa huku pia teknolojia ikijumuishwa. Hakika mazingira mazuri ya leo ni dunia yako kesho.
…
continue reading
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
…
continue reading
Nyumba ya Sanaa ni Makala ya Utamaduni ambayo inatoa fursa kwa wasanii na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.
…
continue reading
Daraja Press is a not-for-profit publisher, based in Québec, Canada, that seeks to reclaim the past, contest the present and invent the future. Daraja is the KiSwahili word for ‘bridge’. As its name suggests, Daraja Press seeks to build bridges, especially bridges of solidarity between and amongst movements, intellectuals and those engaged in struggles for a just world. We seek to build upon, develop and support interconnections between emancipatory struggles of the oppressed and exploited a ...
…
continue reading
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
…
continue reading
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
…
continue reading
AfisaAfya ni podcast pekee ya lugha ya Kiswahili itakayokuwa inawaletea mada, mijadala na mahojiano kuhusu afya ya mwanadamu na jinsi ambavyo afya zetu zinaweza kuathiriwa na mazingira tunamoishi, kila siku ya jumapili.
…
continue reading
This is a podcast based on the famous quote by Maryanne Kimani SEIZE YOUR MOMENT to encourage people to put their today in practice for a better tomorrow. Tell a story to change a nation Email; kmaryanne17@gmail.com Instagram; jobl_onskie17 Youtube ; Girl’s time ; Kiswahili kids stories
…
continue reading
When I was a child, thought God had made me the lowest possible form of human being, to be both Black and female. I felt this way because of the stories I was told. SOSOADAE : FM is a show about how fiction forms the world, through the lens of Black culture and fiction literacy to help readers/writers imagine and craft a more empathetic, more just, and more perfect humanity (through more perfect stories). **To become a partner or sponsor, send a n email to nefertiti@sosoadae.com.
…
continue reading
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
…
continue reading
Sikiliza MAELEZO PODCASTS (Podcasts za Kiswahili kutoka Idara ya Habari MAELEZO, Tanzania) kupata taarifa na matukio mbalimbali nchini Tanzania. Idara ya Habari (MAELEZO) ipo chini ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ikiwa na jukumu la kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa Sera, mipango na miradi ya maendeleo vinavyotekelezwa na Serikali kwa wananchi, kusimamia vyombo vya habari hasa magazeti na machapisho na kuishauri Serikali juu ya Sera na Sheria za habari.
…
continue reading
Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
…
continue reading
Talisman Brisé ni tamthilia ya redio inayosimulia hadithi ya mtunza bustani Kwame ambaye bosi wake Profesa Omar anatekwa nyara na watu wasiojulikana. Kwa nini Profesa Omar anatekwa nyara na watu hao? Mfanyakazi wake Kwame atafanikiwa kumuokoa Bosi wake? Fuatilia haya kwenye tamthilia ya Talisman Brise hapa rfi kila siku ya jumapili ndani ya Makala ya Changu Chako Chako Changu.
…
continue reading
Africa's LSP Podcast is a monthly podcast for the African language services industry, covering trends in translation, interpretation, localization, and language services in Africa. We speak with industry professionals such as translators, interpreters, language researchers, and scholars, as well as African language enthusiasts. Africa's LSP Podcast is presented by Bolingo Consult. Kindly send feedback and suggestions to info@bolingoconsult.com Visit our website at www.bolingoconsult.com Soun ...
…
continue reading
Podcast by Shuga Radio
…
continue reading
RICHLIT FOREX ACADEMY, Hii ni jukwaa la masomo la mtandaoni lililokusudiwa kuelimisha na kutoa rasilimali kwa watu wote ambao wana nia ya kujifunza biashara ya forex au wanataka kuboresha ufahamu wao wa biashara. Mwanzilishi wa RICHLIT FOREX ACADEMY ndiye mfanyabiashara wa kwanza wa vijana ..
…
continue reading
…
continue reading
1
Kozi za Kiswahili ziongezwe ili watu wengi zaidi wajifunze duniani kote- 'Bongo Zozo'
3:07
3:07
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
3:07
Kongamano la kimataifa la Kiswahili limefunga pazia mwishoni mwa wiki mjini Havana Cuba ambako washiriki takriban 400 kutoka barani Afrika, Ulaya, Asia na Aamerika wamejadiliana mada mbalimbali za kukuza na kupanua wigo wa lugha hiyo ya Kiswahili duniani. Hata hivyo wapenzi wa lujifunza lugha hiyo wanataka kozi za kujifunza Kiswahili kwa wageni zio…
…
continue reading
Kumsifu Bwana kwa njia ya nyimbo, Roho mtakatifu저자 Adventist World Radio
…
continue reading
저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Changamoto zinazoandama mipango ya bima ya afya katika mataifa ya Afrika
10:12
10:12
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
10:12
Nchini #kenya ,wagonjwa wengi wanaendelea kutaabika kupata huduma za afya kufuatia changamoto zinazotokana na utekelezwaji wa mpango mpya wa afya ,SHIF Hali hii ndiyo pia inayokumba nchi nyingi za Afrika zinazojaribu kutekeleza mipango ya afya inayosimamiwa na serikali.저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
In the remnants of a fractured UK, England is on the brink of collapse where far-right militias rise to power. As Islamophobia and English nationalism ignite brutal violence, 19-year-old Marah Sultana is thrust into a fight for survival. Hunted by forces seeking control, she carries a secret powerful enough to change the course of the war—and the f…
…
continue reading
Written with urgency out of a war-time Beirut, this poetry collection registers the griefs and the heroism of the Lebanese, under siege yet again. Sabbagh lends his lyrical voice here, to give a voice to the voiceless, trying to find some harmonic sense out of catastrophe. This book will compel readers, both Lebanese and those with any kind of huma…
…
continue reading
저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka Havana Cuba amabpo Flora Nducha amaezungumza na mshiriki kutoka maitaifa mbalimbali na leo ni Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo DRC. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na mashinani inayotupeleka Zimbabwe.Kuongeza kiwango cha fedha kwenye ufadhili wa miradi ya kukabili na kuhimili tabianchi nc…
…
continue reading
1
Afya ya kujifungua na uzazi: Changamoto zinazotokea wakati wa kujifungua mtoto
10:00
10:00
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
10:00
Idadi kubwa ya kina dada wameamua kuchagua upasuaji kama njia rahisi ya kujifungua kwa sababu tofauti tofauti.Sehemu ya pili ya makala haya inaangazia ni kwa nini idadi hio inaongezeka kisha hali inakuaje pale kwenye chumba cha kujifungulia.Dakatari Lilian Nkirote kutokea hospitali ya Jacaranda jiji Nairobi anaelezea kwa kina.…
…
continue reading
1
DRC : Haki ya mtoto kupata elimu na vizingiti vinavyochangia
10:04
10:04
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
10:04
Katika makala haya tunajadili haki za mtoto kupata elimu nchini DRC, hapa mkuu wa chuo cha walumu cha ISP, Butua Balingane anafafanua vizingiti vya mtoto kupata elumu nchini DRC. Kufahamu mengi skiza makala haya.저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Viwango vya umaskini nchini Uganda vimeongezeka mno ,yasema ripoti mpya
8:47
8:47
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
8:47
Umaskini umeendelea kukithiri katika baadhi ya maeneo nchini Uganda Ripoti ya shirika moja lisilo la kiserikali nchini #Uganda, inayoonesha kuwa karibu asilimia 68 ya raia nchini humo wanapata ugumu kujikimu kimaisha kutokana umasikini.저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
…
continue reading
저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Stiell: Lazima tuweke malengo ya juu ya ufadhili ili kukabili mabadiliko ya tabianchi
2:16
2:16
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
2:16
Kufuatia mwaka mwingine wa viwango vya juu vya joto kali na matukio ya kupitiliza ya hali ya hewa, Mkuu wa Sekretarieti ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Tabianchi Simon Stiell amewaeleza washiriki wa mkutano wa 29 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi, COP29 , kwamba malengo mapya ya ufadhili kwa tabianchi ni muhimu kwa ajili…
…
continue reading
저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
Hii leo jaridani tunaangaziamkutano wa 29 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi, COP29, na mradi wa lishe bora kwa watotot Afar nchini Ethiopia. Makala inatupeleka Havana Cuba na mashinani tunasalia huko huko Havana Cuba, kulikoni?Kufuatia mwaka mwingine wa viwango vya juu vya joto kali na matukio ya kupitiliza ya hali ya hewa, Mk…
…
continue reading
1
Mradi wa UNICEF wa kuboresha lishe waleta tabasamu kwa wazazi na watoto Afar Ethiopia
1:46
1:46
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
1:46
Mradi wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF wa kuchagiza kaya kulima bustani za mboga za majani pamoja na ufugaji wa kuku huko jimbo la Afar, kaskazini mashariki mwa Ethiopia umesaidia familia za vijijini kukabiliana na utapiamlo miongoni mwa watoto. Video ya UNICEF Ethiopia inaanza ikimuonesha mtoto akitabasamu, na kisha akiwa…
…
continue reading
저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
…
continue reading
저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
1
CAF: Ligi ya klabu bingwa barani Afrika 2024 kwa kina dada yaanza nchini Morocco
23:47
23:47
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
23:47
Tumeangazia klabu ya Chaux Sport kutoka DRC kubanduliwa kwenye mechi za kufuzu Ligi ya Basketboli Afrika 2024, masaibu ya Yanga SC nchini Tanzania, uchaguzi wa FKF nchini Kenya, mashindano ya kuendesha baiskeli Afrika kwa kina dada nchini Burundi, kifo cha rais wa soka nchini Algeria, matokeo na uchambuzi wa mechi za klabu bingwa Ulaya na fainali y…
…
continue reading
1
Shindano la filamu kwa kutumia simu ya Mkononi na msanii kutoka Mombasa Rojo Mo
19:58
19:58
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
19:58
Karibu katika makala changu chako chako changu Jumapili yaleo ambapo tutakijita zaidi kwenye matokeo ya shindano la kutengeneza filamu kwa kutumia simu ya mkononi liliooandaliwa na Alliance Francaise ya Nairobi nchini Kenya na kwenye Muziki tutakuwa naye msanii kutoka Mombasa Rojo Mo. Mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama Karibu, restons ensemble mwanzo…
…
continue reading
…
continue reading
Kila Ijumaa rfi kiswahili inakupa nafasi kuchangia mada yoyote kuhusu taarifa zetu au kile kinachoendelea hapo ulipo. Haya ni maoni ya waskilizaji wetu juma hili.저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Sanaa ya uchoraji wa vinyago na fursa wa biashara inazoleta
20:13
20:13
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
20:13
Wabunifu wa Sanaa ya Uchongaji Vinyago wamewekeza katika kung'amua fursa ya biashara kwa Mataifa ya Afrika Mashariki ili kujikwamua na vipato Duni, Steven Mumbi amezungumza na Mintanga Ramadhani Msanii wa Sanaa za Uchongaji Vinyago kutoka nchini Tanzania.저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Uchaguzi wa Marekani, mapigano DRC, kampeni za Raila kuwania uenyekiti wa tume ya AU
20:15
20:15
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
20:15
Donald Trump achaguliwa kuwa rais wa 47 wa Marekani, Ziara ya rais wa Kenya William Ruto huko Addis Ababa Ethiopia, na Sudan Kusini, na Raila Odinga kuzindua azma yake ya kuwania uenyekiti wa tume ya Umoja wa Afrika, kuelekea uchaguzi huo utakaofanyika Februari mwaka 2025. Mapigano makali kati ya waasi wa M23 na wazalendo mashariki mwa DRC, Umoja w…
…
continue reading
1
Tutahakikisha Kiswahili kinasambaa duniani na kusongesha ajenda za UN: Dkt. Ndumbaro
5:27
5:27
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
5:27
Kongamano la kimataifa la Kiswahili leo limeng’oa nanga jijini Havana Cuba likiwaleta pamoja takribani washiriki 400 kutoka Afrika, Asia, Amerika na Ulaya ili kujadili ajenda mbalimbali za kupanua wigo wa luugha hiyo na kuitumia kuleta tija ikiwemo kusongesha malengo ya Umoja wa Mataifa kama amani na maendeleo endelevu. Akizungumza na Idhaa ya Kisw…
…
continue reading
…
continue reading
Hii leo jaridani tunakuletea kipindi maalum kinachotupeleka jijini Havana Cubaambapo kongamano la kimataifa la Kiswahili limeng’oa nanga likiwaleta pamoja takribani washiriki 400 kutoka Afrika, Asia, Amerika na Ulaya ili kujadili ajenda mbalimbali za kupanua wigo wa luugha hiyo na kuitumia kuleta tija ikiwemo kusongesha malengo ya Umoja wa Mataifa …
…
continue reading
Makala ya siha njema wiki hii tunaangazia Afya ya uzazi na kujifungua na sio safari nyepesi.Ni safari yenye changamoto haba na furaha kwa wanawake na familia zao. Ni muhimu kwa kila mama mjamzito kufahamu hatua muhimu za kuhakikisha ustawi wa afya yake na ya mtoto anayemtarajia. Kupitia huduma bora za kiafya na ushauri wa wataalamu, wanawake wanawe…
…
continue reading
1
Uwekezaji katika sekta ya kilimo mkoani Arusha Kaskazini mwa Tanzania
9:59
9:59
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
9:59
Sekta ya Kilimo inaongoza kuwa na fursa nyingi za uwekezaji kwa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla kwa mfano uzalishaji wa Ngano, mafuta ya kupikia, matunda na mboga mboga, mbolea, Viatilifu, mbegu bora, vifungashio, kupunguza upotevu wa mazao baada ya mavuno na eneo la kilimo cha umwagiliaji.…
…
continue reading