Player FM - Internet Radio Done Right
14 subscribers
Checked 3d ago
추가했습니다 nine 년 전
France Médias Monde and RFI Kiswahili에서 제공하는 콘텐츠입니다. 에피소드, 그래픽, 팟캐스트 설명을 포함한 모든 팟캐스트 콘텐츠는 France Médias Monde and RFI Kiswahili 또는 해당 팟캐스트 플랫폼 파트너가 직접 업로드하고 제공합니다. 누군가가 귀하의 허락 없이 귀하의 저작물을 사용하고 있다고 생각되는 경우 여기에 설명된 절차를 따르실 수 있습니다 https://ko.player.fm/legal.
Player FM -팟 캐스트 앱
Player FM 앱으로 오프라인으로 전환하세요!
Player FM 앱으로 오프라인으로 전환하세요!
Habari RFI-Ki
모두 재생(하지 않음)으로 표시
Manage series 1143115
France Médias Monde and RFI Kiswahili에서 제공하는 콘텐츠입니다. 에피소드, 그래픽, 팟캐스트 설명을 포함한 모든 팟캐스트 콘텐츠는 France Médias Monde and RFI Kiswahili 또는 해당 팟캐스트 플랫폼 파트너가 직접 업로드하고 제공합니다. 누군가가 귀하의 허락 없이 귀하의 저작물을 사용하고 있다고 생각되는 경우 여기에 설명된 절차를 따르실 수 있습니다 https://ko.player.fm/legal.
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
24 에피소드
모두 재생(하지 않음)으로 표시
Manage series 1143115
France Médias Monde and RFI Kiswahili에서 제공하는 콘텐츠입니다. 에피소드, 그래픽, 팟캐스트 설명을 포함한 모든 팟캐스트 콘텐츠는 France Médias Monde and RFI Kiswahili 또는 해당 팟캐스트 플랫폼 파트너가 직접 업로드하고 제공합니다. 누군가가 귀하의 허락 없이 귀하의 저작물을 사용하고 있다고 생각되는 경우 여기에 설명된 절차를 따르실 수 있습니다 https://ko.player.fm/legal.
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
24 에피소드
모든 에피소드
×
1 Hatua ya rais Donald Trump kusitisha msaada wakijeshi kwa nchi ya Ukraine 10:10
10:10
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요10:10

1 Maoni kuhusu vingozi wa kijeshi wa nchi za Afrika Magharibi kutaka kugombea urais 10:08
10:08
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요10:08
Nchini Gabon, kiongozi wa kijeshi jenerali Brice Oligui Nguema ametangaza kuwa atagombea urais katika uchaguzi wa mwezi ujao, baada ya kutwaa madaraka kupitia mapinduzi ya kijeshi ya 2023. Hili linajiri wakati huu viongozi wengine wa kijeshi kwenye nchi za Burkina Faso, Mali na Niger wakielekea kuchukua mkondo huo.…

1 Vyama vya upinzani nchini Uganda kufunga kuwaombea wafungwa wa kisiasa 9:37
9:37
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요9:37

1 Kila Ijumaa ni mada huru ambapo unatoa maoni kuhusu ulichokiona wiki hii 10:02
10:02
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요10:02
Leo ni Ijumaa ,,siku ya mada huru kwenye habari rafiki ambapo Tunakupa nafasi ya kuzungumzia suala lolote ambalo limetokea nchini mwako wiki hii au kile ambacho umekisikia kwenye matangazo yetu ya juma hili

1 Rais wa Uganda Yoweri Museveni asikitishwa na hali ya umaskini nchini mwake 10:06
10:06
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요10:06
Mada ni kuhusu..kauli ya Rais wa Uganda Yoweri Museveni Akiwa katika ziara ya kawaida kuzungumza na raia wake , ameeleza kuguswa na kusikitishwa na hali ya umasikini anayoshuhudia kwenye nchi yake,,,wakati huu tatizo la umasikini linashuhudiwa pia kwenye mataifa mengine ya ukanda.Tulimuuliza mskilizaji anazungumziaje kauli ya Rais Museveni na je viongozi wa ukanda wamefanya vyakutosha kupambana na umasikini?…

1 Rais wa DRC, Felix Tschsekedi, atangaza kuunda Serikali ya umoja wa kitaifa 10:00
10:00
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요10:00
Karibu kwenye kipindi cha leo ambapo tunaangazia tangazo la Rais wa DRC, Felix Tschsekedi, kuwa ataunda Serikali ya umoja wa kitaifa, hatua inayokuja wakati huu akiwa katika shinikizo kutoka ndani na nje ya nchi yake, kuhusu namna alivyoshughulikia mzozo wa mashariki mwa nchi yake, wakati huu waasi wa M23 wakichukua miji zaidi.…

1 Mada Huru: Maoni kuhusu habari kuu wiki hii na matukio katika maeneo mbalimbali 9:57
9:57
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요9:57
Ikiwa ni siku ya Ijumaa, ni wakati wa mada huru, yaani tunampatia mskilizaji nafasi kuchangia habari kuu ambazo tumekuwa nazo wiki hii hapa RFI Kiswahili au kutueleza jambo ambalo limetokea nchini mwake juma hili. Leo pia msikilizaji ni siku ya lugha mama, ningependa sana nikusalimie kwa lugha yako mama lakini ningependa kusikia kutoka kwako kwanza. Jambo!…

1 Maoni: Marekani yaanza mazungumzo na Urusi ya kusitisha vita nchini Ukraine. 9:58
9:58
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요9:58
Haya ni makala ya Habari Rafiki tukiangazia maoni ya waskilizaji wa RFI Kiswahili kuhusu mada kwamba, Marekani imeanza mazungumzo na Urusi, lengo likiwa kupata mkataba wa kusitisha vita nchini Ukraine. Ukraine ambayo haijashirikishwa kwenye mchakato huo inasema haitakubali mkataba wowote bila kuhusishwa. Tumemuuliza msikilizaji je, Marekani inaweza kumaliza vita vya Ukraine? Na anafikiri ni kwanini Marekani haijaishirikisha Ukraine na mataifa ya Ulaya kwenye harakati hizi?…

1 Wanamgambo wa RSF waandaa mkutano wa kuunda serikali mbadala Nairobi 10:01
10:01
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요10:01
Wanamgambo wa RSF wanaopigana na jeshi nchini Sudan na washirika wake wakiwemo wanasiasa wapo jijini Nairobi nchini Kenya, wanakojadiliana kuhusu uundwaji wa serikali mbadala wakati huu inapoendelea na vita. Unazungumzia vipi harakati hizi za RSF ? Unafikiri ni kwanini Kenya imewaruhusu wanamgambo hao kukutana katika nchi yake ?…

1 Kikao cha usalama wa DRC na Sudan chakamilika Ethiopia bila suluhu 10:00
10:00
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요10:00
Makala ya leo yanaangazia Kikao cha viongozi wa Afrika, kilichotamatika rasmi mwishoni mwa juma lililopita nchini Ethiopia, mzozo wa DRC na Sudan ukigubika mijadala yao. Hata hivyo vikao hivyo vimekamilika bila suluhu ya mizozo ya nchi zote mbili, ambapo vyongozi waliishia kwa kutoa wito wa kusitisha mapigano. tulimuuliza msikilizaji iwapo anaridhika na matokeo ya kikao hicho na anadhani nini cha zaidi viongozi hawa wangefanya kukomesha mizozo barani Afrika…

1 Mkutano wa kila mwaka wa Umoja wa Afrika kuzingatia usalama wa DRC 10:00
10:00
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요10:00
Mkutano wa kila mwaka wa viongozi wa Afrika umeanza rasmi jijini Addis Ababa, #Ethiopia ambapo maswala muhimu ikiwemo usalama mashariki mwa #DRC, mapinduzi ya kijeshi na vita dhidi ya makundi ya kijihadi yakitarajiwa kugubika mkutano huu.Tulimuuliza mskilizaji natarajia nini kipya kutoka kwa viongozi wa AU? na iwapo anafikiri viongozi wameshindwa kumaliza changamoto za bara hili..…

1 Kauli ya rais Donald Trump kuhamisha wapalestina yapingwa vikali 10:00
10:00
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요10:00
Kwenye kipindi cha leo tunaangazia kauli tata ya Rais Donald #trump, kuhusu mzozo wa #Gaza, safari hii akitishia kuvunjika kwa mkataba wa usitishaji mapigano, ikiwa Hamas haitawaachia mateka wote ifikapo Jumamosi ya wiki hii.Juma lililopita alidai kuwa nchi yake itachukua udhibiti wa Gaza na kuwahamisha Wapalestina.Tulimuuliza mskilizaji anazungumziaje kauli hiyo ya Trump and je huenda zikachochea mzozo zaidi kati ya #Israel na Hamas?…

1 Hatua ya Kenya kuondoa mahojiano kwa waomba vitambulisho yaibua hisia mseto 9:57
9:57
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요9:57
Makala haya yanaangazia hatua ya Serikali ya kenya kusema hakutakuwa na haja ya mahojiano kwa waomba vitambulisho toka katika maeneo ya mpakani, uamuzi ambao umeibua mjadala kuhusu masuala ya usalama.Tulimuuliza msikilizaji anazungumziaje hatua hiyo ya Kenya vile vile nchini mwake hali ikoje

1 Kauli ya mkutano wa SADC na EAC kuhusu amani nchini DRC waibua maoni mseto 9:58
9:58
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요9:58
kwenye makala ya leo tunaangazia hatua ya wakuu wa nchi za #SADC na EAC kutaka kusitishwa mapigano maramoja ,na kutaka kuondoka kwa vikosi vya kigeni mashariki mwa #DRC, pamoja na Serikali ya Kinshasa kuzungumza moja kwa moja na waasi wa #M23 ambapo wito huo umepokelewa kwa hisia mseto na raia wa ukanda.…

1 Kila siku ya Ijumaa huwa tunaangazia mada huru kwenye makala habari rafiki 10:03
10:03
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요10:03
Kila siku ya ijumaa ni mada huru ambapo Tunampa nafasi msikilizaji kujadili suala lolote ambalo limetokea nchini mwake wiki hii au kile ambacho amekisikiliza kwenye habari zetu juma hili.
플레이어 FM에 오신것을 환영합니다!
플레이어 FM은 웹에서 고품질 팟캐스트를 검색하여 지금 바로 즐길 수 있도록 합니다. 최고의 팟캐스트 앱이며 Android, iPhone 및 웹에서도 작동합니다. 장치 간 구독 동기화를 위해 가입하세요.