Out podcast is about me and my sister life sometimes we will have special guest such as our friends.
…
continue reading
Welcome to the The Pili Cuadrado Podcast podcast, where amazing things happen. Cover art photo provided by Alexander Mils on Unsplash: https://unsplash.com/@alexandermils
…
continue reading
Ready to accelerate your multifamily real estate investing business? We’re Jason and Pili Yarusi, and we’re multifamily real estate investors who don’t keep ANY secrets… on this podcast, you’ll learn the latest tips and tricks, strategies, updates, and lessons learned from the frontlines of our own multifamily real estate business, plus insights and interviews from expert investors across the nation. It’s time to unlock your full potential… subscribe to the Multifamily Live Podcast and let’s ...
…
continue reading
Straight from Valle del Cauca, Colombia, PILI REND brings us another breathtaking episode of ULTRAVIOLET RADIO, as part of the SOMNIA TALENT RADIO Network. Enjoy! More info at www.somniaradio.com Directamente desde Valle del Cauca, Colombia, PILI REND nos trae otro episodio impresionante de ULTRAVIOLET RADIO, como parte de la Red SOMNIA TALENT RADIO. ¡Disfrutar! Más información en www.somniaradio.com Direto de Valle del Cauca, Colombia, PILI REND nos traz outro episódio de tirar o fôlego do ...
…
continue reading
Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .
…
continue reading
Hear It From Harlan! - Go inside University of Utah Athletics and the Pac-12 with Utah Director of Athletics Mark Harlan!
…
continue reading
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
…
continue reading
Just making an introduction into the podcasting field,for this app at least. Be on the lookout.
…
continue reading
Seedcast is a story-centered, Webby-nominated podcast where we dig up, nurture, and root stories of the Indigenous experience from around the world. Produced by Nia Tero.
…
continue reading
Image cell organelles were competing to be the leader of the organelles. These podcasts are organelle campaign speeches/
…
continue reading
A former management consultant, entrepreneur, and writer of several books on how to apply the Pareto principle (80/20 rule) in all walks of life. Richard has also used his concepts to make a fortune from several private equity investments made personally. Richard’s investments have included Filofax, Plymouth Gin, the Great Little Trading Company and Betfair. Previously he had been a consultant at Boston Consulting Group and later a partner at Bain and Company, before leaving to start managem ...
…
continue reading
Welcome to the Real path to BYOB (Be your own Boss)- dedicated to people like you who want to Be their own Boss. Tired of working a 9-5 job, looking for ways to Be your own Boss and exit the madness of working to make others dreams come true? You are at the right place. Join me each week , as I have real and raw conversations with Real BYOB's about all things like building a real estate business, passive income, wealth, success, failure and so much more. You can take active steps to becoming ...
…
continue reading
1
Sehemu ya pili: Je kuongeza kodi ni suluhu kwa matatizo ya Afrika
10:02
10:02
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
10:02
Msikilizaji kwa muda sasa mataifa ya Afrika yameendelea kupitia changamoto za kifedha, kuanzia katika kukusanya mapato na matumizi kwa ajili ya maendeleo yake, hali ambayo imesababisha nchi nyingi kujikuta pabaya kutokana na kulazimika kukopa fedha toka kwa taasisi za kimataifa au nchi zilizoendelea huku ziklipa riba kubwa katika urejeshaji. Lakini…
…
continue reading
1
Vijana pwani ya Kenya waachana na dawa za kulevya na kugeukia shughuli za kiuchumi
10:00
10:00
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
10:00
Msikilizaji kwa muda sasa, eneo la pwani ya Kenya limekuwa likikabiliwa na kiwango kikubwa cha matumizi ya dawa za kulevya miongoni mwa vijana, Hali hii ikichangia vitendo vya utovu wa nidhamu, kuongezeka kwa magonjwa ya zinaa na ndoa za mapema. Hata hivyo, kutokana na juhudi za mashirika mbalimbali ya kijamii na yasiyo ya kiserikali, vijana wengi …
…
continue reading
1
Shindano la filamu kwa kutumia simu ya Mkononi na msanii kutoka Mombasa Rojo Mo
19:58
19:58
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
19:58
Karibu katika makala changu chako chako changu Jumapili yaleo ambapo tutakijita zaidi kwenye matokeo ya shindano la kutengeneza filamu kwa kutumia simu ya mkononi liliooandaliwa na Alliance Francaise ya Nairobi nchini Kenya na kwenye Muziki tutakuwa naye msanii kutoka Mombasa Rojo Mo. Mimi ni Ali Bilali Bienvenue ama Karibu, restons ensemble mwanzo…
…
continue reading
1
Alliance Francaise ya Nairobi inavyoikuza sanaa ya uigizaji jukwaani sehemu ya kwanza.
19:55
19:55
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
19:55
Katika Makala haya Ali Bilali amejielekeza Alliance Francaise ya Nairobi ambayo imeandaa Onyesho la Kwanza la tamthilia ya ‘Mgonjwa Mwitu’, utayarishaji wao wa kila mwaka wa maigizo yaliyotolewa na tamthilia za waandishi mashuhuri wa Ufaransa. Kwa maadhimisho ya miaka 75, chaguo ni 'Le Malade Imaginaire' na Molière. Hii ni comedy ya mwisho kuandikw…
…
continue reading
1
Fahamu hapa kuhusu liliokuwa soko la watumwa nchini DRC Oct 20 2024
20:09
20:09
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
20:09
Karibu katika Makala Changu Chako Chako Changu, ambapo Ali Bilali mtangazaji wako asiependa makuu ameungana na Denise Maheho kutoka Lubumbashi kuzungumzia kuhusu iliokuwa barabara ya watumwa zama za ukoloni. Kumbuka pia kutuachia comment na kumfollow mtangazaji wako asiependa makuu @billy_Bilali kwenye mitandao yake ya kijamii Instagram na facebook…
…
continue reading
1
Je, nyongeza ya kodi ni suluhu kwa nchi zinazoendelea kujikwamua kiuchumi
10:03
10:03
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
10:03
Mataifa ya Afrika yameendelea kupitia changamoto za kifedha, katika kukusanya mapato kwa ajili ya maendeleo, hali ambayo imesababisha nchi nyingi kujikuta pabaya kutokana na kulazimika kukopa fedha toka kwa taasisi za kimataifa au nchi zilizoendelea huku ziklipa riba kubwa katika ureje shaji. Lakini je, kuongeza wigo wa kodi kwa mataifa yanayoendel…
…
continue reading
1
Hear It From Harlan! with Utah Soccer's Taliana Kaufusi
29:58
29:58
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
29:58
Utah Athletics Director Mark Harlan is joined by the voice of the Utes Bill Riley for season 7, episode 2 of the Hear It From Harlan Podcast. Mark sits down with Utah Women's Soccer's fifth year Forward Taliana Kaufusi to discuss their season, heading into the Big 12 Tournament and Kaufusi leading the Big 12 in goals. Mark and Bill also discuss Uta…
…
continue reading
1
Utamaduni wa ndoa kulingana na kabila la Wameru sehemu ya pili Oct 13 2024
20:11
20:11
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
20:11
Ali Bilali ndio jina langu tunakutana tena Jumapili hii katika makala Changu Chako Chako Changu ambapo nakuletea sehemu ya pili ya Makala kuhusu Utamaduni w andoa kulingana na kabila la Wameru, kwenye le parler francophone nitakupa ratiba ya shughuli kwenye vituo vya Alliance Francaise ya Nairobi na Dar es salaam. Na kwenye Muziki tutamaliza na kib…
…
continue reading
1
Athari za Kiuchumi kutokana na ongezeko la watu barani Afrika: Changamoto na fursa
10:03
10:03
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
10:03
Msikilizaji dunia inashuhudia ongezeko kubwa la idadi ya watu katika miongo 6 iliyopita, ambapo mwaka 1960 idadi ilikuwa bilioni 3 lakini katika miongo miwili tu hadi mwaka 1982 ilikuwa imevuka watu bilioni 5 na November mwaka 2022 kulikuwa na watu bilioni 8 duniani. Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili, tunajadili Athari za Kiuchumi kutokana na …
…
continue reading
1
Utamaduni wa watu wa Kabila la Wameru kutoka nchini Kenya
19:47
19:47
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
19:47
Makala haya mtangazaji wako Ali Bilali anazungumzia kuhusu utamaduni wa watu wa kabila la Wameru kutoka nchini Kenya, wapo pia nchini Tanzania.저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
Tatizo la fedha haramu barani Afrika linaligharibu bara hili kiasi cha dola za Marekani bilioni 50 na bilioni 80 kila mwaka, Asilimia 44 ya utajiri wa kifedha wa Afrika inadhaniwa kuwa nje ya nchi. Kwa mujibu wa Ripoti ya Maendeleo ya Uwazi wa Ushuru barani Afrika ya 2023, nchi za Afrika zimeokoa dola bilioni 2 kwa mwaka kutokana na watu kuweka waz…
…
continue reading
1
Utamaduni wa ndoa kabila la wamakonde na wahangaza kutoka nchini Tanzania sehemu ya 2
20:11
20:11
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
20:11
karibu, Jumapili nyingine kuwa nami katika Makala Changu Chako Chako Changu Makala ambayo hukuletea Historia na utamaduni wa mambo mbalimbali, le Parler francophone na Muziki. Wiki iliopita nilikuletea Utamaduni wa ndoa kutoka makabila ya Wamakonde na wahangaza, ambapo leo nakuletea sehemu ya pili. Na kwenye le parler francophone nitakuletea ratiba…
…
continue reading
1
Utamaduni wa watu wa makabila ya wahangaza na wamakonde kutoka nchini Tanzania
20:04
20:04
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
20:04
Katika makala haya, mtangazaji wako Ali Bilali amezungumza na Amua Rushita kutoka Mkoa wa Mtwara pamoja na Hilali Alexanda Ruhundwa kutoka Mkoa wa Kagera Wilaya ya Ngara nchini Tanzania kuzungumzia utamaduni wa ndoa kulingana na makabila hayo mawili. Kumbuka pia nawe unaweza kushiriki moja kwa moja studio au kwa njia ya simu. Wasiliana na mtangazaj…
…
continue reading
1
Fursa na changamoto ya huduma jumuishi za mifumo ya kifedha kidijitali barani Afrika
9:58
9:58
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
9:58
Msikilizaji kwa mujibu wa benki ya dunia, ni asilimia 49 tu ya watu wazima wanamiliki akaunti benki, takwimu za hivi karibuni zikionesha ongezeko la asilimia 55 mwaka 2021 kutoka asilimia 43 mwaka 2017, hata hivyo kiwango hiki kikiwa kidogo ukilinganisha na wastani wa kidunia wa asilimia 76. Makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili tunajadili kuhusu…
…
continue reading
Msikilizaji juma lililopita Rwanda ilikuwa mwenyeji wa kongamano la mfumo wa chakula barani Afrika, ambapo wadau zaidi ya elfu 4 kutoka kila pembe ya mataifa ya Afrika walishiriki. Mkutano uliangazia kuhusu mifumo ya chakula, mbinu bora na teknolojia ambazo zinaweza kubadilisha mifumo ya kilimo na chakula barani Afrika na wakati huohuo kutengeneza …
…
continue reading
Uchina wiki hii imekuwa mwenyeji wa mkutano kati yake na viongozi wa Afrika, kwa mujibu wa takwimu zilizoko, China ni taifa la pili duniani kufanya biashara nyingi zaidi na bara la Afrika, biashara inayokadiriwa kufikia dola za Marekani bilioni 167 kwa mwaka. Kuangazia mkutano huu na wasiwasi ulioko kuhusu uwekezaji wa China barani Afrika, tumezung…
…
continue reading
1
Athari za kutokuwa na usawa wa kijinsia kwa soko la ajira Afrika
9:42
9:42
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
9:42
Kwa wastani, wanawake hufanya angalau mara mbili na nusu zaidi ya kazi za nyumbani zisizo na malipo kuliko wanaume. Zaidi ya hayo, wanawake hutumia saa 4 na dakika 30 kwa siku kwa kazi ya matunzo bila malipo, ikilinganishwa na saa 1 dakika 20 kwa wanaume katika nchi zinazoendelea. Makala ya Gurudumu la uchumi wiki hii tunajikita kule mashariki mwa …
…
continue reading
1
Toleo la 11 la Bourse Ghislaine Dupont na Claude Verlon kutolewa huko Benin
19:49
19:49
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
19:49
RFI inaandaa toleo la kumi na moja la Bourse Ghislaine Dupont na Claude Verlon, kwa heshima kwa waandishi wake wawili waliouawa kaskazini mwa Mali Novemba 2, 2013. Bourse hii, ambayo huwafunza waandishi wa habari vijana kumi wa redio na mafundi vijana kumi wa kuripoti kila mwaka, iko wazi. kwa wagombea kutoka nchi zote za Afrika zinazozungumza Kifa…
…
continue reading
1
Changu Chako Chako Changu: Utamaduni wa mahari kwa baadhi ya makabila barani Afrika
19:47
19:47
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
19:47
Makala haya yanaangazia kuhusu gharama ya sherehe za harusi katika karne hii, hususan ukusanyaji wa michango kwa ajili ya kufanaikisha sherehe.저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Hear it From Harlan with Utah Football Running Back Micah Bernard
33:44
33:44
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
33:44
Utah Athletics Director Mark Harlan is joined by the Voice of the Utes Bill Riley for the first episode of the 2024 season. In Segment One, Harlan and Riley discuss the beginning of the Big 12 Era at Utah, Utah Football, Camp Kyle and the Opener against Southern Utah. Harlan explains in depth the Utah Football Ring of Honor and it’s first inductee …
…
continue reading
1
Tatizo la ajira na changamoto nyingine kwa vijana wa Afrika Mashariki
10:07
10:07
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
10:07
Msikilizaji asilimia 70 ya watu katika mataifa ya Afrika yaliyoko Kusini mwa Jangwa la Sahara wana umri wa chini ya miaka 30, hata hivyo ni hatari ikiwa mataifa yatashindwa kuhakikisha vijana wana nafasi nzuri za maisha, kwakuwa Vijana wana haki sio tu ya afya bora, lishe bora na elimu, lakini fursa za uhuru na kazi nzuri. Kuzungumzia mada hii hivi…
…
continue reading
1
Changu chako chako changu Tasnia ya ulimbwende sehemu ya pili
20:01
20:01
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
20:01
Karibu katika makala changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni, le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea sehemu ya pili ya makala kuhusu Ulimbwende au Model,저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Changu Chako Chako Changu tasnia ya ulimbwende sehemu ya kwanza Agost 04 2024
20:00
20:00
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
20:00
Karibu katika makala changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea mambo mbalimbali ya utamaduni, le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea sanaa ya Ulimbwende au Model, na kwenye la parler francophone nitakuletea shughuli zinazoendelea kwenye vituo vya Alliance francaise za ukanda kipindi hiki cha michuano ya Olympiki, mimi ni Ali…
…
continue reading
1
Historia ya kabila la Wabukusu pamoja na sanaa ya muziki kutokea kwa Bendi ya An Noor
20:34
20:34
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
20:34
Karibu kwenye makala ya changu chako ,chako changu juma hili ukiwa nami Florence Kiwuwa. Na kwenye kipengele cha historia hii leo tutaangazia historia ya kabila la Waluhya wanaofahamika kama wabukusu kisha kwenye kipengele chetu cha pili cha LeParle Francophone tutaangazia maonyesho ya Taarab yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Alliance France kisha tut…
…
continue reading
1
Seedcast em Português: 20 anos de Acampamento Terra Livre
35:20
35:20
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
35:20
Listen to this episode in English O Acampamento Terra Livre (ATL) é a maior mobilização indígena do Brasil. Em 2024, ano de seu 20º aniversário, 9 mil indígenas do Brasil e do mundo reuniram-se em Brasília para defender seus direitos e suas terras. Atualmente, a representação indígena no governo brasileiro é a maior de todos os tempos. Muito mudou …
…
continue reading
1
Matumizi ya lugha ya kiswahili katika enzi ya Kijiditali
20:14
20:14
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
20:14
Kiswahili kinazungumzwa na zaidi ya watu milioni 200 afrika mashariki na kwenye makala haya ya changu chako,chako changu ,Florence Kiwuwa amefanya majadiliano na wanafunzi katika chuo kikuu cha Multmedia ili kujua kuhusu mchango wa lugha hii katika kuendeleza utamaduni na utengamano na vilevile katika kipengele cha muziki amemuangazia mwanamuziki w…
…
continue reading
1
Changu Chako Chako Changu maalum kuhusu maadhimisho ya miaka 14 ya RFI Kiswahili
19:56
19:56
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
19:56
Karibu katika Makala Changu Chako Chako Changu jumapili ya leo ambapo nakulrtea Makala maalum kuhusu maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 14 tangu Ple RFI Kiswahili ilipoanza kupeperusha matangazo yake mubashara kutoka nchini Tanzania ambapo ilikuwa idhaa ya kwanza ya Kimataifa kutangaza ikiwa Afrika mashariki. Na kwenye Muziki nitakuletea Burudani y…
…
continue reading
1
Changu Chako Chako Changu, maadhimisho ya miaka 64 ya uhuru wa DRC
20:00
20:00
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
20:00
Makala haya Ali Bilali anazungumzia kuhsu maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru wa DRC.저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Ugunduzi wa tekonolojia ya akili mnemba teknolojia nyingine na mchango wake kwa ukuaji wa uchumi
9:54
9:54
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
9:54
Msikilizaji kwa mujibu wa Jukwaa la dunia la uchumi, World Economic Forum, ujio wa teknolojia mpya kama akili mnemba (Artuificial inteligency), ikiwa zitatumika vizuri, zitasaidia kujenga uchumi wenye ushindani, unaostahimili changamoto na endelevu. Katika makala ya gurudumu la uchumi juma hili, tunajadili Kuibuka au ugunduzi wa teknolojia na ushaw…
…
continue reading
Acampamento Terra Livre, or Free Land Camp, is the largest Indigenous mobilization in Brazil and 2024 marked its 20th year, as 9,000 Indigenous People from across Brazil – and the world – gathered in Brazil’s capital, Brasilia, to defend their rights and their lands. With more Indigenous representation in the Brazilian government than ever, some th…
…
continue reading
1
CHANGU CHAKO CHAKO CHANGU HISTORIA NA UTAMADUNI WA WATU WA KABILA LA WANUBI
20:02
20:02
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
20:02
Eid Mubaraka kwako mskilizaji wa RFI Kiswahili popopte pale ulipo ausubuhi hii. Karibu kuungana nami katika Makala haya Changu Chako Chako Changu. Leo nakuletea Historia ya watu wa Kabila la Wanubi, na kwenye Muziki nakupeleka nchini Burundi ambapo nazungumza na msanii wa kizazi kipya, Keypeacvaldiny. mimi ni Ali Bilali mtangazaji wako asiependa ma…
…
continue reading
1
Athari za uchumi na biashara kwenye mji wa Kalemie nchini DRC
9:53
9:53
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
9:53
Msikilizaji juma hili katika makala ya Gurudumu la uchumi nakuletea mseto wa taarifa za uchumi na biashara toka kwenye kanda ya Afrika Mashariki, katika Makala ya leo mwenzangu victor Abuso, alizungumza na Christian Yoka, mkurugenzi wa shirika la maendeleo la Ufaransa, AFD kanda ya Afrika, lakini pia mwandishi wetu wa Lubumbashi, Denise Mayoo, aliz…
…
continue reading
1
Afrika iwe makini inaposhirikiana au kusaidiwa na nchi zilizoendelea
9:59
9:59
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
9:59
Msikilizaji katika miaka ya hivi karibuni, mataifa ya Ulaya, Amerika, Asia na sasa Uarabuni, yameongeza kasi ya uwekezaji, utoaji wa mikopo na misaada kwa nchi za Afrika, mataifa haya yamewekeza mabilioni ya dola za marekani kwa bara hilo kwa kubadilishana na rasilimali zake, hatua ambayo mbali na kuonekana kama ni urafiki lakini inaibua maswali ku…
…
continue reading
1
Historia ya madaraka Day nchini Kenya na ziara ya Mistachampagne studio za RFI Kiswahili
20:04
20:04
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
20:04
Karibu katika makala ya leo changu chako chako changu ambapo leo nakuletea historia ya siku ya madaraka ambayo huadhimishwa kila Juni Mosi nchini Kenya. Na kwenye le parler francophone kama kawaida nakuletea ratiba ya shughuli za kitamaduni Alliance francaise za ukanda. Na Kwenye Muziki nitakuwa naye Mr Champagne msanii kutoka nchini Burundi ambaye…
…
continue reading
1
Historia na utamaduni wa kabila la wanyakyusa sehemu ya pili
20:05
20:05
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
20:05
Karibu katika Makala haya changu chako chako changu, jumapili ya leo ambapo nakuletea awamu ya pili ya makala kuhusu historia na utamaduni wa watu wa kabila la Wanyakyusa, na kwenye Muziki nakupa muendelezo wa mazungumzo na wasanii Kidum Kibidon na EstherNish. Mimi ni Ali Bilali. Bienvenue.저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Hofu kwa wafanyabiashara kuhusu muswada wa fedha 2024 nchini Kenya
10:05
10:05
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
10:05
Msikilizaji kwa wiki kadhaa sasa nchini Kenya, kumekuwa na mjadala mkali baada ya kutolewa kwa mapendekezo ya serikali kuhusu muswada wa fedha wa mwaka 2024 unaolenga kuongeza kodi katika baadhi ya sekta na bidhaa nchini humo. Wazalishaji na wawekezaji wakitarajiwa kuwa waathiriwa wakbwa ikiwa muswada huu utapitishwa kama ulivyo, ambapo baadhi ya v…
…
continue reading
1
Afrika na jitihada za kutaka kuwa katika meza ya majadiliano ya kidunia na sio mualikwa
10:02
10:02
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
10:02
Msikilizaji wakati wa kongamano la kimataifa la wakurugenzi wakuu wa kampuni mbalimbali duniani waliokutana nchini Rwanda, maswali kadhaa yaliibuliwa, kubwa lilikuwa ni je bara la Afrika linapaswa kuwa katika meza ya maamuzi au kwenye orodha, na ikiwa huu ni muda muafaka wa kutoa mustakabali wake. Ni maswali magumu ambayo hata hivyo viongozi wa Afr…
…
continue reading
1
Historia na Utamaduni wa wanyakyusa na muziki wa Kidum pamoja na Esther Nish
20:03
20:03
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
20:03
Furaha ilioje kukutana nawe Jumapili ya leo katika Makala Changu chako Chako Changu, ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophpone na Muziki ambapo leo nakuletea sehemu ya kwanza ya makala kuhusu historia ya Wanyakyusa, na kwenye Miuziki nitakuletea mwanamuziki Esthernish pamoja ni Kidum. Mimi ni Ali Bilali bienvenu…
…
continue reading
1
Sehemu ya makala kuhusu utamaduni wa waluo na waluhya hasa kwenye maswala ya ndoa
20:03
20:03
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
20:03
Karibu katika Makala haya changu chako chzako changu Jumapili ya leo ambapo nakuletea sehemu ya pili ya makala kuhusu tamaduni za wa Luhya na wa luo nchini Kenya ambapo sasa tutaangazia kuhusu tamadunbi za ndoa, na kwenye le parler francophone nakuletea ratiba ya shughuli za kitamaduni Alliance francaise ya Nairobi na kwenye muziki nitakuletea mwan…
…
continue reading
1
Changamoto na fursa kwa vijana wajasiriamali na ajira kwenye nchi za Afrika Mashariki
9:58
9:58
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
9:58
Hujambo msikilizaji wa rfikiswahili popote pale unapotegea sikio matangazo yetu nikukaribishe katika makala ya Gurudumu la Uchumi, na hivi leo tunaangazia ukanda wa Afrika Mashariki, eneo lililojaa nguvu kazi ya vijana pamoja na ari ya ujasiriamali, lakini bado linakabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira. Takwimu za hivi karibuni za benki ya dunia z…
…
continue reading
1
Mchango wa biashara ndogondogo na kati kwa uchumi wa nchi za Afrika Mashariki
8:14
8:14
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
8:14
Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili, inaangazia mchango na changamoto ya biashara ndogondogo na zile za kati kwenye nchi za Afrika Mashariki. Matayarishaji amezungumza na wafanyabiashara wadogowadogo na kati nchini Kenya, lakini mchambuzi wa masuala ya uchumi Ally Mkimo.저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Utamaduni wa watu wa kabila la Waluo na Waluhya kutoka nchini Kenya
20:00
20:00
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
20:00
저자 RFI Kiswahili
…
continue reading
Hey! Jason Yarusi here. So you want to buy an apartment building? Your market is one of the most important factors to consider when getting started. We’ve nailed down a simple step-by-step process we use every single time we’re looking to get into a new market. Listen in now to see what we look for in a market! Want to Learn More About Multifamily …
…
continue reading
1
Afrika na madai ya mabadiliko katika mifumo ya kifedha ya kimataifa
9:40
9:40
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
9:40
Msikilizaji katika miaka ya hivi karibuni, wito umeendelea kutolewa na mataifa ya Afrika kuhusu kuwepo usawa na haki katika mfumo wa kifedha duniani, ambao Kihistoria, nchi za Kiafrika zimekuwa katika hali mbaya linapokuja suala la kupata ufadhili, rasilimali, na makubaliano yenye usawa ya kibiashara. Kuzungumzia hili, nimemualika kwa njia ya simu …
…
continue reading
Hey! Pili Yarusi here. Jason and I started in real estate back in 2013. It really was a choose-your-own-adventure. We were flipping and wholesaling houses spending $15K every month on marketing. We were pretty successful but our path was paved with doubt. That’s when we took our knowledge and experience and started investing in multifamily properti…
…
continue reading
1
How Chad King Went From Selling Copiers to $106M in Commercial Assets
28:24
28:24
나중에 재생
나중에 재생
리스트
좋아요
좋아요
28:24
Hey! Pili Yarusi here. Chad King was selling copiers door to door out of college. Now he has over $106M in commercial assets under management. Hear how he went from sales to flipping houses to acquiring apartments. Listen in now if you’re ready to break the cycle of 9-5! Want to Connect with Chad King? Instagram: https://www.instagram.com/mrchadkin…
…
continue reading
Hey! Pili Yarusi here. Yesterday somebody asked me, “what is generational wealth?” I hear everybody talking about it. Is it a great bank account you leave for your friend or for your family? Is it a great mindset you leave for your friends and family? What really is generational wealth? Listen in now! Want to Learn More About Multifamily Real Estat…
…
continue reading