Player FM 앱으로 오프라인으로 전환하세요!
Athari za Donald Trump kusitisha misaada kwa Afrika na njia mbadala kujitegemea
Manage episode 464024818 series 1143115
Uamuzi wa Rais wa Marekani #DonaldTrump, kuagiza kusitishwa kwa muda utowaji wa misaada yote ya kigeni umeibua mjadala na sintofahamu hasa kwa nchi za Afrika, ambazo sekta muhimu ikiwemo afya zinategemea msaada wa Marekani.Tulimuuliwa msikilizaji anazungumziaje hatua hii ya Marekani na Nchi za Afrika zifanye nini kuacha kutegemea misaada ya nchi za Kigeni?
26 에피소드

모든 에피소드
×
1 Mada Huru: Maoni kuhusu habari kuu wiki hii na matukio katika maeneo mbalimbali 9:57

1 Maoni: Marekani yaanza mazungumzo na Urusi ya kusitisha vita nchini Ukraine. 9:58

1 Wanamgambo wa RSF waandaa mkutano wa kuunda serikali mbadala Nairobi 10:01

1 Kikao cha usalama wa DRC na Sudan chakamilika Ethiopia bila suluhu 10:00

1 Mkutano wa kila mwaka wa Umoja wa Afrika kuzingatia usalama wa DRC 10:00

1 Kauli ya rais Donald Trump kuhamisha wapalestina yapingwa vikali 10:00

1 Hatua ya Kenya kuondoa mahojiano kwa waomba vitambulisho yaibua hisia mseto 9:57

1 Kauli ya mkutano wa SADC na EAC kuhusu amani nchini DRC waibua maoni mseto 9:58

1 Kila siku ya Ijumaa huwa tunaangazia mada huru kwenye makala habari rafiki 10:03

1 Changamoto za upatikanaji wa Nishati ya Uhakika barani Afrika 9:58

1 Athari za Donald Trump kusitisha misaada kwa Afrika na njia mbadala kujitegemea 10:01

1 Swali: Je viongozi wa Afrika wanaweza kutatua migogoro inayokumba bara hilo 9:51

1 Wito wa mataifa ya Afrika kutafuta suluhu kwa matatizo ya Afrika 6:54

1 Nani wa kulaumiwa kuhusu vita vinavyoendelea mashariki mwa DRC 10:01

1 Visa vya uchimbaji madini haramu vinazidi kuongezeka barani Afrika 9:58
플레이어 FM에 오신것을 환영합니다!
플레이어 FM은 웹에서 고품질 팟캐스트를 검색하여 지금 바로 즐길 수 있도록 합니다. 최고의 팟캐스트 앱이며 Android, iPhone 및 웹에서도 작동합니다. 장치 간 구독 동기화를 위해 가입하세요.