Bárány 공개
[search 0]
Download the App!
show episodes
 
Artwork

1
Kiswahili program

Radio Vaticana - Vatican News

Unsubscribe
Unsubscribe
매일
 
Vatican News vipaumbele vyake: Habari za Baba Mtakatifu; Vatican, Kanisa la Kiulimwengu na Kanisa Barani Afrika. Tunazo habari za kisiasa na kijamii kutoka Barani Afrika na Dunia katika ujumla wake. Tovuti hii inapambwa na Tafakari ya Neno la Mungu pamoja na Makala mbali mbali. - Podcast - Radio Vaticana - Vatican News
  continue reading
 
The How to Write The Future Podcast offers fiction writing tips for science fiction and fantasy authors who want to create optimistic stories because when we vision what is possible, we help make it so. By science fiction and fantasy author and fiction writing coach, Beth Barany.
  continue reading
 
Artwork

1
Habari RFI-Ki

RFI Kiswahili

Unsubscribe
Unsubscribe
주마다+
 
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
  continue reading
 
Artwork
 
Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano mbalimbali.
  continue reading
 
Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .
  continue reading
 
Artwork
 
Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Afrika Mashariki, Afrika na Duniani kwa ujumla.
  continue reading
 
On the Pencils&Lipstick podcast Kat talks to authors, editors and other professionals in the writing and publishing field to learn more about the craft of writing. If you're a writer or just love listening to author interviews about writing, Pencils&Lipstick is about to be your newest favorite podcast.
  continue reading
 
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
  continue reading
 
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
  continue reading
 
Huu ni wasaa wa kukutana na wageni mbalimbali watakaokuwa wakifika katika studio zetu na kuzungumza moja kwa moja yaani LIVE. Ni mjadala wa kila Jumatano asubuhi ambao utagusa masuala muhimu yanayoibuka ndani na nje ya Bara la Afrika katika nyanja tofaut itofauti. Mjadala wa wiki ni wasaa utakaokuzungusha dunia nzima kupitia mawimbi ya RFI Kiswahili.
  continue reading
 
davidhochbaum.com davidstoupakisl.com Gimmie Babel is a podcast started in 2018 by visual artists and long time friends David Stoupakis and David Hochbaum featuring occasional guests to discuss process, inspiration and how they navigate the waters of living and working as a contemporary artist in the USA. Occasionally the artists would create videos to accompany the the episode. The agenda is open but usually revolves around art and food.
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Chakula ni muhimu kwa maisha, kuishi, heshima, ustawi, na maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa watu binafsi, jamii, na mataifa. Sheria za kimataifa zinatambua haki ya kila mtu kupata chakula cha kutosha na haki ya kuwa huru kutokana na njaa. Haki hii ni ya msingi kwa utekelezaji wa haki zote za binadamu. Nchini Kenya, ni haki ya kikatiba, iliyoko k…
  continue reading
 
Msikilizaji dunia inashuhudia ongezeko kubwa la idadi ya watu katika miongo 6 iliyopita, ambapo mwaka 1960 idadi ilikuwa bilioni 3 lakini katika miongo miwili tu hadi mwaka 1982 ilikuwa imevuka watu bilioni 5 na November mwaka 2022 kulikuwa na watu bilioni 8 duniani. Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili, tunajadili Athari za Kiuchumi kutokana na …
  continue reading
 
Tuliyokuandalia ni pamoja na uchambuzi wa mechi ya Kombe la Super Cup Afrika, Kenya kuwa mwenyeji wa mashindano ya baiskeli Afrika kwa mara ya kwanza, matokeo ya riadha jijini New York, sura mpya za wanariadha watakaoshiriki Berlin Marathon hapo kesho, Ligi za ukanda kwenye soka, voliboli na basketboli lakini pia matokeo ya Kombe la Europa League r…
  continue reading
 
Tuliyokuandalia ni pamoja na michuano ya kufuzu AFCON U20 mwaka ujao, namna timu za Afrika zilicheza kwenye wiki ya kwanza ya Kombe la Dunia la kina dada wasiozidi miaka 17, timu ambazo tayari zimefuzu AFCON ya 2025 nchini Morocco na nafasi ya timu za Afrika Mashariki na Kati, AFCON ya ufukweni yaanza leo nchini Misri, droo ya klabu bingwa Afrika k…
  continue reading
 
Siku ya Mtoto wa Kike Duniani, inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 11 Oktoba, ni fursa ya kuangazia changamoto zinazokabili watoto wa kike duniani na kukuza usawa wa kijinsia. Katika mwaka 2024, mada ilikuwa "Kutoa sauti kwa watoto wa kike: Fursa na Changamoto katika Utu wa Kike." Makala haya yataangazia kwa kina haki za mtoto wa kike na hatua zilizo…
  continue reading
 
I talk with Monica Hay today about something she helps writers with everyday: procrastination and perfectionism. Do you struggle with either of those? Me, too! Join us in today's talk! Find out more about Monica Hay and get into the Overcoming Resistance Bootcamp here (affiliate link): https://katcaldwell.com/monica-hay Join me at the Escape the Pl…
  continue reading
 
“What I'll tell people is to find your writing group, find your writing family.” -- R.A. Clarke In this episode, “Interview with Science Fiction Western novelist, Rachael Clarke, Part 2 Part 2” podcast host Beth Barany continues her interview with Rachael Clarke where they discuss Rachael’s writing process, including one of the biggest points of st…
  continue reading
 
Ali Bilali ndio jina langu tunakutana tena Jumapili hii katika makala Changu Chako Chako Changu ambapo nakuletea sehemu ya pili ya Makala kuhusu Utamaduni w andoa kulingana na kabila la Wameru, kwenye le parler francophone nitakupa ratiba ya shughuli kwenye vituo vya Alliance Francaise ya Nairobi na Dar es salaam. Na kwenye Muziki tutamaliza na kib…
  continue reading
 
My interview today is with debut novelist, Ben Hawken. We chat about creative energy, a life of finding creative outlets and, ultimately, how he took on book writing. You can find out more about Ben on his website at https://www.benhawken.com/ You can buy Chandelier here: https://www.amazon.com/dp/B0DFNXQSKZ Join me at the Escape the Plot Forest Su…
  continue reading
 
“I'm passionate about sci-fi and I was thinking, I just I love horses so much, and I started thinking, what would horses be like in the future? What does that look like? What would happen? My brain started like kind of spiraling and brainstorming with this, what would a horse be like in the future?” -- R.A. Clarke In this episode, “Interview with W…
  continue reading
 
Tuliyokuandalia ni pamoja na faniali za kufuzu mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wasiozidi miaka 20, uchambuzi wa vikosi vilivyotajwa na wakufunzi kuelekea raundi ya tatu ya kufuzu AFCON 2025, masaibu ya Samuel Eto'o na kocha wa Senegal Aliou Cisse kutemwa, kifo cha nyota wa basketboli Dikembe Mutombo pamoja na matokeo ya mechi…
  continue reading
 
Tatizo la fedha haramu barani Afrika linaligharibu bara hili kiasi cha dola za Marekani bilioni 50 na bilioni 80 kila mwaka, Asilimia 44 ya utajiri wa kifedha wa Afrika inadhaniwa kuwa nje ya nchi. Kwa mujibu wa Ripoti ya Maendeleo ya Uwazi wa Ushuru barani Afrika ya 2023, nchi za Afrika zimeokoa dola bilioni 2 kwa mwaka kutokana na watu kuweka waz…
  continue reading
 
Should we write backstory? Should we not? How much backstory should we include? Where and how should we include it? We tackle these questions today with three simple tips that will help you navigate backstory and make the decisions that are right for your story. PODCAST SUMMARY Bended Loyalty is out!! https://books.katcaldwell.com/loyalty Want to b…
  continue reading
 
“I know for me what I'm working on, especially at the beginning of creating a story I'm asking, because stories have to have escalating conflict, I ask: What is the worst thing that could happen now to my dear lovely character? And now what?What's worse than that? And what's worse than that? And that's how I build my plot.” -- Beth Barany In this e…
  continue reading
 
karibu, Jumapili nyingine kuwa nami katika Makala Changu Chako Chako Changu Makala ambayo hukuletea Historia na utamaduni wa mambo mbalimbali, le Parler francophone na Muziki. Wiki iliopita nilikuletea Utamaduni wa ndoa kutoka makabila ya Wamakonde na wahangaza, ambapo leo nakuletea sehemu ya pili. Na kwenye le parler francophone nitakuletea ratiba…
  continue reading
 
Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema hatowania urais ila Uganda itaendelea kuongozwa na polisi au jeshi baada ya rais Museveni Juma lililopita mtoto wa Rais wa #Uganda pia mkuu wa majeshi Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kuwa nchi hiyo itaongozwa na mwanajeshi au polisi baada ya baba yake kuondoka madarakani.…
  continue reading
 
Sarah Elisabeth Sawyer is an indie author who writes historical fiction that features authentic American Indian characters. Sign up for her newsletter here: https://www.subscribepage.com/sarahelisabethwrites And get signed up for the Dictation bootcamp (I will be there (this link is an affiliate)) here: https://www.fictioncourses.com/dictationbootc…
  continue reading
 
Loading …

빠른 참조 가이드