Uchambuzi Wa Kitabu Cha WHO MOVED MY CHEESE? (Nani Kahamisha Jibini Yangu?)
Manage episode 398460243 series 3280689
Innocent Ngaoh에서 제공하는 콘텐츠입니다. 에피소드, 그래픽, 팟캐스트 설명을 포함한 모든 팟캐스트 콘텐츠는 Innocent Ngaoh 또는 해당 팟캐스트 플랫폼 파트너가 직접 업로드하고 제공합니다. 누군가가 귀하의 허락 없이 귀하의 저작물을 사용하고 있다고 생각되는 경우 여기에 설명된 절차를 따르실 수 있습니다 https://ko.player.fm/legal.
Nani kahamisha jibini yangu? Ni kitabu ambacho kinakusaidia kukabaliana na mabadiliko ambayo hukutarajia wala kutegemea kwenye kazi na maisha. Kitabu kipo kwa mfumo wa stori ambao inahusisha wahusika wanne ambao ni 1. Sniff 2. Scurry 3. Hem 4. Hew Ni kitabu ambacho utajifunza namna ya kukabiliana na mabadiliko kwenye maisha. Naamini kupitia uchambuzi wa kitabu hiki utafurahia Sana. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message
…
continue reading
102 에피소드