Maisha 공개
[search 0]
Download the App!
show episodes
 
Podcast mahususi kujifunza mambo ya maendeleo binafsi (Personal development/Self-improvement), maisha, mahusiano, saikolojia na elimu ya fedha. Ni podcast ya kipekee ambayo utajifunza mambo mengi ambayo yanatokea kwenye maisha yetu ya kila siku, kila kitu kinachozungumzwa hapa kina uhalisia na siyo nadharia ya kusadikika. Kuwa sehemu ya familia hii na uhakika hautakuwa kama ulivyokuwa mwanzo, podcast ambayo itaboresha na kuongeza thamani ya maisha yako mara 10X au zaidi. Hakikisha unafollow ...
  continue reading
 
Loading …
show series
 
Kama wewe ni wale ambao unawatumia watu DM au text za kawaida Kwa Mara ya Kwanza kama vile "Niaje, Mambo, Vipi, Shwari Mkuu, Harakati Ni Vipi Kiongozi, Mrembo mambo n.k"Tambua unakosea sana Tena sana hiyo siyo Kujitambulisha badala ni salamu tu.Swali linakuja unajua jinsi ya Kujitambulisha mtu akiona DM au text Yako apate kuijibu bila kupuuzia.Unah…
  continue reading
 
Umekosa sapoti au kushikwa mkono Katika kazi zako au mapambano Yako?Unapitia hali ya kukataliwa na kuona hakuna anayejua thamani Yako Wala Kuamini Katika Wewe?Unapitia hali ya kukata tamaa kwenye kitu unachofanya kwa kuwa matokeo yamechelewa.Unatamani kuwa Bora ila hujui ufanye Nini?Kuna watu wanakurudisha nyuma na kutoamini katika mapambano Yako i…
  continue reading
 
Kama unataka Kutimiza Malengo yako Unahitaji kwanza kula Tembo mzima bila kumbakisha mfupa wala mkia. Sikiliza episode mpaka mwisho na ujifunze. Kula Tembo nzima Tumia mbinu ya SYSTEMATIC APPROACH --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message
  continue reading
 
Umekuwa na tabia ya kuwasema watu wengine kwa namna yoyote kwenye maisha yao? Hii ni tabia mbaya, lakini hujui ufanye nini ili uache tabia hii ya kimaskini na ni tabia mbaya.Inawezekana siyo wewe ila kuna watu wa karibu yako wana tabia hii, basi kupitia maarifa haya utaweza kuwa chachu ya kubadilika kwake.Huwezi kumbadilisha mtu ila unaweza kuwa sa…
  continue reading
 
Uungwana ni kuangalia ni maswali gani hupaswi kumuuliza mtu ambaye hujakutana nae muda mrefu, kwa sababu ukiuliza moja maoja unaonakena mtu ambaye hujielewi na hujui nini uzungumze kutoka na eneo ambalo upo. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message…
  continue reading
 
Dada wa kazi alivyotaka kuniua kwa imani za kishirikina kwa kuninywesha sumu ya Panya nikidhani ni dawa. Sikiliza mkasa huu ujifunze kitu kuhusu dada wa kazi na vimbwanga vyao.--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message
  continue reading
 
Nani kahamisha jibini yangu? Ni kitabu ambacho kinakusaidia kukabaliana na mabadiliko ambayo hukutarajia wala kutegemea kwenye kazi na maisha.Kitabu kipo kwa mfumo wa stori ambao inahusisha wahusika wanne ambao ni1. Sniff2. Scurry3. Hem4. HewNi kitabu ambacho utajifunza namna ya kukabiliana na mabadiliko kwenye maisha.Naamini kupitia uchambuzi wa k…
  continue reading
 
Kuachilia haijawahi kuwa jambo rahisi hasa kwa watu ambao umewathamani na kuamini wangekuwa na wewe maisha yako yote, lakini ghafla wanakuachia maumivu na kukuumiza kiakili, kimwili, kihisia.Inaumiza kuona hawatambui thamani yako na unashindwa kuachikilia na kuishia kuwa na roho ya kutaka kulipa kisasi, uchungu, hasira, msongo wa mawazo na kujichuk…
  continue reading
 
Elimu ya fedha isiyofundishwa shuleni wala vyuo vikuu imepelekea kushindwa kupiga hatua kwenye eneo la fedha.Kitabu cha MONEY FORMULA kinakupa mwongozo sahihi ni kwa namna gani unaweza kufanikiwa kifedha kupitia sheria, kanuni na mitazamo sahihi kuhusu fedha.Hakikisha unafanyia kazi ambayo unajifunza.--- Send in a voice message: https://podcasters.…
  continue reading
 
Unataka kufanikiwa kifedha na kuwa tajiri basi kitabu cha THE RICHEST MAN FROM BABYLON kitakupa mwongozo na sheria za fedha.Uchambuzi wa sura 11 ambazo utapata kwenye episode hii.Hakikisha unaandika pembeni ambayo utajifunza rafiki.--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message…
  continue reading
 
Umekuwa na fikra kuwa ukiongeza au ukipunguza maumbile ya mwili wako basi utakuwa umekamilika na hautakuwa na kasoro hata kidogo si ndiyo? Basi Sikiliza episode hii ujifunze madhara ya kutaka kuongeza au kupunguza maumbile yako.--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message…
  continue reading
 
Ni kitabu mahususi kimeandikwa na Anne Lemmot ambacho utajifunza mambo mengi kuhusu uandishi wa vitabu na kuishi maisha yenye uhuru ndani yake.Hakikisha unaandika pembeni mambo ambayo utajifunza kupitia uchambuzi wa kitabu hiki kizuri cha BIRD BY BIRD yaani NDEGE KWA NDEGE.Katika uchambuzi wa kitabu hiki utajifunza sura tano ambazo mwandishi ametus…
  continue reading
 
Usijisikie vibaya kuona watu wa karibu au wa mbali hawaelewi wala hawapo tayari kukuelewa kuhusu mapambano yako.Inaumiza kuona watu ambao unawapenda na kuamini inaweza kuwa,📌 Wazazi wako,Ulitegemea ndiyo wangekuwa watu wa kwanza kukuelewa na kuamini unachofanya na imekuwa tofauti wanakukosoa na kukalaumu kwanini unafanya hicho.📌 Marafiki zako,Maraf…
  continue reading
 
Umepanga kufanya maajabu mwaka 2024 na umejipanga vizuri kuanzia kupanga malengo yako, ndoto na maono yako. Lakini kuna vitu unapaswa kuzingatia kufanya leo hii kabla ya kuingia mwaka 2024. Utajifunza mambo 05 ambayo yatakusaidia kujua nini ufanye kabla ya kuingia mwaka 2024.--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maish…
  continue reading
 
Unahitaji kukubalika kwenye jambo lolote basi unahitaji sana NGUVU YA KIBALI.Mahali popote hakikisha unaishi vizuri na watu ndiyo maana wahenga wanasema "Mtaji wa mtu ni watu.Ufanye nini upate nguvu ya kibali cha kukubalika machoni pa watu?Sikiliza episode hii mpaka mwisho.Share | Like | Comment | Ask--- Send in a voice message: https://podcasters.…
  continue reading
 
Zijue mbinu 07 za kuongeza uwezo wako wa kujiamini na mwenye ujasiri mkubwa kwa kushinda hofu, wasiwasi, uoga na kujitilia mashaka. Sikiliza episode hii mpaka mwisho na uwezo kujua mbinu za kuwa mtu mwenye kujiamini--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message…
  continue reading
 
Unajiuliza uishi kama kinyonga ni kwa namna gani si ndiyo? Ni kwamba unahitaji kuwa makini na kuishi kwa tahadhari kama kinyonga na watu wanakuzunguka hasa watu wa karibu yako. Hata wahenga wanasema “Adui hatoki mbali” Sikiliza dakika 9 zenye kukupa mwanga na mabadiliko kwenye Maisha yako. Ushindwe wewe tu rafiki.--- Send in a voice message: https:…
  continue reading
 
Hivi unajua asilimia 80% ya watu unawaeleza matatizo yako hawajali kabisa na asilimia 20% wanafurahi kuona matatizo hayo yanakupata wewe hapo. Kanuni ya 80/20 itakusaidia kuchuja nani wa kuwaeleza matatizo yako na wapi kutowaeleza. Unajiuliza ni kwa namna gani Kanuni hii inafanya kazi si ndiyo? Basi Sikiliza episode hii mpaka mwisho ujifunze--- Sen…
  continue reading
 
Hakuna kitu kinaumiza kama watu kukudharau na kubeza uwepo wako si ndiyo?Dharau ina maana kwamba wanachukulia poa jambo au kitu fulani pasipo kukipa thamani inayostahili.Hivi unajua kwanini watu wanakudharau?Ukweli ni kwamba huwezi kuwa mwema na mzuri kwa kila mtu ila inakuwa inaumiza zaidi pale watu ambao umewapa nafasi kubwa kwenye maisha yako ha…
  continue reading
 
Mahusiano siyo jambo la ulazima ila mahusiano ni jambo la utayari. Mapenzi siyo upofu, ila ni mtazamo wako Kuwa ni upofu wakati umepewa macho uone, akili ili uchanganue na hisia ili ujitathimini. Unajua nini uzingatie kabla ya kuingia/kuanzisha mahusiano ya kimapenzi, basi sikiliza episode hii mpaka mwisho ujifunze--- Send in a voice message: https…
  continue reading
 
Unataka kuingiza pesa na kujikwamua kiuchumi? Kama jibu lako ni ndiyo, basi episode hii inakufaa kwa sababu utaenda kujua aina 10 za Ujuzi ambazo zitakuingizia pesa ni wewe kuchagua Ujuzi mmoja au miwili kisha weka nguvu hapo baada ya mwaka mmoja hadi mitano utaona unaingiza pesa ni uthubutu wako tu. Sikiliza kwa umakini sana --- Send in a voice me…
  continue reading
 
Hivi unajua kwamba wewe ni mtabiri wa maisha yako? Wahenga wanasema “Every human is magician” wakiwa na maana kila mtu ni mchawi Unajiuliza ni kwa namna gani? Sikiliza episode hii ujue mchawi wa mafanikio yako.--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message…
  continue reading
 
Ukijua nguvu ya mchakato kwenye maisha yako utapata kuelewa upata kuhusu mafanikio, maendeleo, ukuaji, mabadiliko na kila kitu kinahitaji mchakato. Unataka kujua mchakato haupukeki ni lazima mchakato upitie. Sikiliza episode hii mpaka mwisho ujue nguvu ya mchakato.--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubut…
  continue reading
 
Kila mtu anataka kupata mabadiliko chanya ambayo yanafanya anapiga hatua na pengine hata wewe kuna mabadiliko ukifanya utaweza kupiga hatua. Swali la kujiuliza unajua ni mambo gani ufanye ili upate mabadiliko unayoyataka kwenye maisha Yako? Sikiliza episode hii mpaka mwisho ujifunze.--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/sh…
  continue reading
 
Kitabu cha sayansi ya malengo ni kitabu bora ambacho kitakusaidia Kutimiza Malengo yako mara 10X zaidi ya unavyotimiza sasa. Wasiliana na mimi 0674698347 kupata kitabu chako cha Sayansi ya malengo--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message
  continue reading
 
Hivi unakijua kipaji chako au kikubwa ni uhai?Pasipo kujali unajua au hujui kipaji chako ila tambua una zawadi ya kipaji ambayo ulipewa na Mungu hata kabla ya kuzaliwa kwako.Kwahiyo...Kuzaliwa kwako Ina maana una kipaji ndani yako.Swali la kujiuliza.Je, unakijua kipaji chako?Hongera kwa kujua kipaji chako cha .... (Taja kimoyomoyo) Ina maana tayari…
  continue reading
 
Kipaji ni kama msuli kadiri unavyofanya mazoezi ndiyo msuli unakuwa mkubwa na wenye nguvu si ndiyo? Basi episode hii utajua namna rahisi ya kunoa kipaji chako kiwe kikubwa na kukupa mafanikio makubwa...!--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message
  continue reading
 
Loading …

빠른 참조 가이드