Gharama ya juu ya vyakula ilivyo tishio la kiafya kwa wengi.

9:54
 
공유
 

Manage episode 339632553 series 1189407
Player FM과 저희 커뮤니티의 France Médias Monde and RFI Kiswahili 콘텐츠는 모두 원 저작자에게 속하며 Player FM이 아닌 작가가 저작권을 갖습니다. 오디오는 해당 서버에서 직접 스트리밍 됩니다. 구독 버튼을 눌러 Player FM에서 업데이트 현황을 확인하세요. 혹은 다른 팟캐스트 앱에서 URL을 불러오세요.
Katika makala haya tunaangalia namna mfumuko wa bei ya vyakula ,vita vya Ukraine inasukuma raia wengi kwenye ukingo wa kupata matatizo ya kiafya yakiwemo magonjwa yasiyoambukizwa. Hali ngumu ya maisha imezidi kuwapa wengi mtihani wa kuchagua afya au bora shibe.

142 에피소드